TAREHE 21 MACHI, 2024 MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA ALIFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. BALOZI ALBERT SHINGIRO, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMAENDELEO WA JAMHURI YA BURUNDI. MAZUNGUMZO HAYO YALIHUSU JENGO LA UBALOZI LILILOUZWA. KWA UPANDE WAKE MHE. WAZIRI SHINGIRO ALIAHIDI KULIFANYIA KAZI NA KUENDELEZA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA BURUNDI.