Leo tarehe 30 Machi, 2024 Mhe. Anthony P. Mavunde, Waziri wa Madini wa Tanzania, amefanya maridhiano ya Makubaliano ya Utekelezaji wa MoU katika Sekta ya Madini na Mhe. Ibrahim Uwizeye, Waziri wa Madini wa Burundi yaliyoridhiwa jijini Bujumbura, Burundi.
MARIDHIANO YA MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MoU KATIKA SEKTA YA MADINI YARIDHIWA KATi YA TANZANIA NA BURUNDI.
Mhe. Balozi Gelasius G. Byakanwa akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Anthony P. Mavunde, Waziri wa Madini leo tarehe 30 Machi, 2024 kwenye Ofisi ya Ubalozi.
