KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFRIKA MASHARIKI, MHE. LOUIS KAMWENUBUSA AMESAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA NIABA YA WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI  KUFUATIA KIFO CHA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, ALIYEKUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.